Kujenga Njia za Umeme
Tunajenga njia za umeme 33KV (H.T),
11KV (L.V) na 11KV (L.T).
Tunatimu ya wataalamu waliobobea ili kuhakikisha Huduma zetu ni zenye Ubora na Uhakika.
TORPEDO FREELANCE GROUP (T.F.G) ni kikundi kilichoundwa na wanachama 16 mnamo tarehe 01, Agosti 2023 lengo likiwa ni kuunganisha nguvu, ujuzi na taaluma za wanachama ili kuwawezesha kufanya kazi za Ufundi Umeme kwa ufanisi.
Moja kati ya malengo makuu ya kikundi hiki ni Kusaidia/Kusukuma mbele kwa kasi maendeleo ya Serikali kuwafikishia huduma za umeme wanannchi kwa wakati pamoja na utunzaji wa miundombinu hasa katika nyanja ya nishati.
Tunajenga njia za umeme 33KV (H.T),
11KV (L.V) na 11KV (L.T).
Tunajenga Service Line 3 Phase na Single Phase.
Tunafunga Mita (LUKU) 3 Phase na Single Phase
Tunabadili Nguzo Zilizoharibika.
Tunabadili Mita (LUKU) Zilizoharibika
Tunaweka/Tunatandaza mifumo ya umeme kwenye majengo 3 Phase na Single Phase.
Tunatatua matatizo yote ya umeme ikiwemo Shoti.
Tunasfisha njia za Umeme kwa Kufyeka, kupalilia na kukata mitili iliyosonga njia za Umeme.
Mwenye Kiti
Katibu
Mtunza Hazina
Mjumbe
Mjumbe
Mjumbe
Mjumbe
Mjumbe
Mjumbe
Mjumbe
Mjumbe
Mjumbe
Mjumbe
Mjumbe
Mjumbe
Mjumbe